Skip to main content

Open Access Africa-Swahili Version: Wasiliana Nasi

Waliochangia

Open Access for Africa ni mtandao unaothaminiwa na kudumishwa na Maktaba ya Healey katika Chuo Kikuu cha Massachusetts Boston. Waliochangia katika mpango huu ni pamoja na:

Chuo cha Uuguzi na Sayansi ya Afya

Jacob Kariuki RN, PhD Student (Kubuni tovuti na kujumuisha yaliyomo)

Eileen Stuart-Shor PhD, ANP-BC, FAHA, FAAN (Kuanzisha dhana ya OAA na ushauri wa jumla)

Healey's Reference, Outreach, and Instruction Team (Ushauri na mwelekezo wa kiufundi)

Tina Mullins (Mkutubi wa Kumbukumbu, mshauri na msimamizi wa ujumla)

Danitta Wong  ((Mkutubi wa Kumbukumbu)

Teresa Maceira ((Mkutubi wa Kumbukumbu) 

Janet Di Paolo ((Mkutubi wa Kumbukumbu)

George Hart (Aliyekuwa kaimu mkutubi aliyehusika na huduma za Umma)

Anthony Viola (Aliyekuwa mkutubi wa Kumbukumbu)

 

Ofisi ya Mambo ya Kimataifa na Kimaaifa

Eunsook Hyun Ph.D (Ufadhili wa awamu ya kwanza ya mpango wa OAA)

 

Ofisi ya Mkutubi wa Chuo Kikuu cha Massachusetts Boston

Daniel Ortiz -Mkutubi wa Chuo (Msaada wa jumla na ufadhili wa awamu ya pili ya mpango wa OAA)

 

Maoni

Juhudi na mikakati ya kutosha zimetumiwa kuchunguza rasilimali zinazoangaziwa katika tovuti hii ili kuhakikisha hakuna taarifa za kupotosha zilizojumuishwa. Hata hivyo, tungetaka kufafanua kuwa taarifa na maelezo yaliyomo katika mwongozo huu ni wajibu wa mwandishi au mchangiaji aliyehusika.

Maoni yako ni ya thamani na yatasaidia kuimarisha yaliyomo katika tovuti hii. Yawasilishe kupitia kijisanduku kilicho hapa chini

Healey Library | University of Massachusetts Boston | 100 Morrissey Blvd | Boston, MA | 02125-3393 | 617-287-5900