Skip to main content
It looks like you're using Internet Explorer 11 or older. This website works best with modern browsers such as the latest versions of Chrome, Firefox, Safari, and Edge. If you continue with this browser, you may see unexpected results.

Open Access Africa-Swahili Version: Nyumbani

Vipengele muhimu

Tafsiri

To Access the English version of the guide, click HERE

Injini Tafuti ya OAA

Hii injini tafuti inayapa kipaumbele matokeo kutoka majarida wazi ya afya, kwa maudhui ya kuweshesha wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea kupokea utaalamu wa kisasa kwa njia rahisi bila malipo.

Loading

Malengo ya OAA

Kwa kuangazia changamoto zinazowakabili wanafunzi na wafanyakazi wa afya katika nchi zinazoendelea, mwongozo huu wa OAA unaazimia kuvunja vizuizi ambayo vinazuia upatikanaji wa majarida yanayoangazia utaalamu wa kisasa bila malipo. OAA inaazimia kusaidia wanafunzi kupata matokeo dhabiti ya utafiti wao bila kupoteza wakati. Hii inawezeshwa na Majarida wazi, Mihadhara, eBooks na Hifadhidata zinazoangaziwa na mtandao huu. Zaidi ya hayo, injini tafuti ya OAA inachunja matokeo na kutoa yale tu kutoka tovuti za kuaminika zizizo na malipo.

Maelezo ya kutumia mtandao wa OAA

About Us

UMass Boston logoAIC Kijabe Hospital logoUniversity of Nairobi School of Nursing Sciences logo

‚Äč

Mwongozo huu umetayarishwa kuunga mkono juhudi za Kenya Heart and Sole' kukuza afya ya kimataifa, utafiti na huduma za afya katika nchi zinazoendelea.

Mtandao umedhaminiwa na Chuo cha Uuguzi na Sayansi ya Afya katika Chuo kikuu cha Massachusetts Boston, Maktaba ya Healey na Ofisi ya Mambo ya Kimataifa na Kimaaifa

Healey Library | University of Massachusetts Boston | 100 Morrissey Blvd | Boston, MA | 02125-3393 | 617-287-5900