Skip to main content

Open Access Africa-Swahili Version: Msaada wa Hifadhidata

Jinsi ya kupata nakala kamili katika PubMed

Tazama video hii ya dakika mbili inayoelezea jinsi ya kupata nakala kamili katika PubMed

Msaada zaidi juu ya kutumia PubMed

Loading ...

Msaada wa Kutumia Up To Date

Msaada wa Kutumia Medscape

Msaada wa Kutumia HINARI

Utangulizi wa kutafuta makala katika tovuti

Injini tafuti hutimika kutafuta hati katika tovuti. Ujuzi wa kutumia injini tafuti ni wa thamani kubwa katika jitihada zako za kutafuta makala katika tovuti. 

Jinsi Injini Tafuti hufanya kazi

Video Hii inatoa maelezo rahisi ya jinsi Injini Tafuti hufanya kazi

Jinsi ya kutumia Injini Tafuti Maarufu

 Kama unataka kufanya utafiti unaozaidi maneno rahisi katika tovuti , unahitaji kutumia boolean operators na truncation. Search Strategies ni video inayoelezea jinsi ya kutumia boolean operators na truncation.  Hii pdf  inatoa muhtasari juu ya baadhi ya vipengele muhimu vya Google, Yahoo Search na Exalead.

Kutumia Boolean Operators

Video hii ya dakika nne yaelezea jinsi ya Kutumia Boolean Operators

Healey Library | University of Massachusetts Boston | 100 Morrissey Blvd | Boston, MA | 02125-3393 | 617-287-5900